KIJIWE NONGWA EP 46: NYIMBO MPYA | ZIIKI PRESS | MANDOJO NA DOMOKAYA
Update: 2023-09-26
Description
Tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Dayoo, Barnaba, Killy, Kontawa na Jay Melody. Tunachambua pia press ya Regional Manager wa Ziiki Afrika Mashariki Bi Camilla Owora na BongoFleva Honours ya Mandojo na Domokaya.
Tunamalizia na historia ya nyimbo ya Mambo Matano ya Lady JayDee.
Karibu.
Tunamalizia na historia ya nyimbo ya Mambo Matano ya Lady JayDee.
Karibu.
Comments
In Channel




